Je wewe ni shabiki kindakindaki wa Yanga aka wa Kimataifa? Kama ni hivyo karibu sana.
Ndani ya "YANGA KIMATAIFA" utaweza kusoma Makala na kupata taarifa mbalimbali kuhusu klabu yako unayoipenda
sana. Utaweza kupata ratiba za michezo , matokeo, mijadala na matukio mbalimbali yanayoihusu Yanga ndani
na nje ya uwanja. YANGA KIMATAIFA ni yako wewe shabiki namba moja wa Yanga.